Home > Terms > Swahili (SW) > Johnny Deep

Johnny Deep

John Christopher johnny Depp wa pili,alizaliwa tarehe tisa mwezi wa juni,mwaka wa elfu moja mia tisa sitini na tatu ni Muigizaji na mwanamuziki mwamerika.Anatambulika kwa uigizaji wake usiokua wa kawaida. Katika maigizo mengi na yasioweza kuwa kweli. Ameshinda taji la Golden Globe na Screen Actors Guild,kwa kazi yake katika filamu za hivi majuzi. Alianza kazi yake miaka ya elfu moja mia tisa na themanini katika vipindi vya runinga vya 21 Jump Street katika nyanja ya filamu anatambulika kama muhusika Edward Scissorhands miaka ya elfu moja mia tisa na tisini,baadaye akaanzisha ufaulu wa Box Officekatika filamu kama Sleepy Hollow,Pirates of the Carribean za mwaka elfu moja mia tisa tisini na tisa,The curse of the black pearlya mwaka elfu mbili na tatu.na Charlie and the chocolate Fact oryya mwaka elfu mbili na tano. Ameshiriki na mkurugenzi na rafiki yake Tim Burton kutoa filamu saba.ya hivi karibuni ikiwa Sweneey Todd,Demon Barber of the Fleetmwaka wa elfu mbili na saba,pia Alice in wonderlandya Mwaka elfu mbili na kumi. Filamu zinazomhusisha Depp Zimeingiza zaidi ya dola Bilioni ishirini na sita katika Box office marekani.na zaidi ya bilioni sita duniani kote Amekua akichaguliwa katika tuzo za juu mara nyingi alishinda mwigizaji bora katikaGolden Globeskwa uchangio wake katika Sweneey Tod na Demon Barber Of The Fleet.

0
  • Part of Speech: proper noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: People
  • Category: Actors
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

DEBORA KAYEMBE
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 7

    Followers

Industry/Domain: Government Category: U.S. election

Jumanne bora

Inahusu tarehe muhimu katika kalenda ya kampeni - kwa kawaida Machi mapema - wakati idadi kubwa ya mataifa ya uchaguzi ya msingi. Matumaini ni kwamba ...

Contributor

Edited by

Featured blossaries

ObamaCare

Category: Health   2 14 Terms

10 Most Bizarrely Amazing Buildings

Category: Entertainment   2 10 Terms