Home > Terms > Swahili (SW) > jagi ya fumbo

jagi ya fumbo

Jagi fumbo ni fumbo katika mfumo wa jagi. Changamoto ya fumbo- kunywa yaliyomo bila kumwagika - mara nyingi yameandikwa juu ya jagi. Hii kwa hakika haiwezekani kufanya katika njia ya kawaida kwa sababu shingo ya jagi ni pekecheka. Jagi ya fumbo yalikuwa maarufu wakati wa karne ya 18 na 19. Ufumbuzi wa fumbo ni kwamba jagi ina kasiba iliyofichwa. Kile kinachoonekana kama pua ni, kwa kweli, upande mmoja wa kaiba ambayo kwa kawaida inakimbia kwenye mdomo wa jug na kisha chini ya kono kufungua ndani ya jagi karibu chini.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 3

    Followers

Industry/Domain: Communication Category: Written communication

Barua

Barua ni ujumbe ulioandikwa kwa karatasi. Siku hizi si rahisi kupata watu wakitumia njia hii kuwakilisha ujumbe.labda wakati muhimu ama penye ...

Featured blossaries

Venezuelan Chamber of Franchises

Category: Business   1 5 Terms

Aircraft

Category: Engineering   1 9 Terms