Home > Terms > Swahili (SW) > kuongoza kutoka nyuma

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu umeweza kuibua malumbano mengi kati ya Ikulu na Jarida la The New Yorker ambalo lilichapisha makala asilia ya yakimweleza mshauri wa Obama na kuonyesha vitendo vya Rais kule Lybia kuwa "kuongoza kutoka nyuma." Ikulu ya White House imekana kuwahi kutumia msemo huo.

Kinyume na Kampeni nyingi zilizoongozwa na Marekani Uarabuni, ambazo ziliwalenga Saddam Hussein wa Iraq na kundi la Taliban kule Afghanistan, Marekani ilichukua jukumu la pili kwenye vita vilivyoongozwa na Ufaranza huko Lybia ambavyo vilipelekea kukamatwa na kuuawa kwa Muammar Gaddafi.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 12

    Followers

Industry/Domain: Internet Category: Social media

Mjomba Cat

cat cuddly kwa jina la Hatch-chan kwamba akawa kimataifa maarufu na blog yake mwenyewe na smiles kipekee. kupotea akageuka Mashuhuri paka alikuwa na ...

Contributor

Featured blossaries

The World News

Category: Other   2 30 Terms

Camera Brands

Category: Technology   1 10 Terms