Home > Terms > Swahili (SW) > sentensi ambatano

sentensi ambatano

ni sentensi yenye aghalabu vishazi huru mbili vinavyounganishwa na kiunganishi

mfano: Sungura anakimbia mbio kumliko kobe na kobe anastahimili kumliko sungura.

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Language
  • Category: Grammar
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Halloween

Halloween

Inajulikana pia kama All Hallow's Eve, Halloween ni likizo ya mwaka inayosherehekewa tarehe 31 Oktoba katika Marekani, Canada, na Uingereza. Ni eti ...

Featured blossaries

Beaches in Croatia

Category: Travel   2 20 Terms

The Best Fitness Tracker You Can Buy

Category: Technology   2 5 Terms