Home > Terms > Swahili (SW) > mchuzi ya batamzinga

mchuzi ya batamzinga

Mbinu inayotumika kuongeza ladha, supu na uzito kwa Batamzinga, kuku na nyama nyingine. Pia inajulikana kama nyama iliyoimarishwa, mchuzi ya batamzinga ni sindano au utupu kutibiwa na ufumbuzi wa maji na kemikali za viungo vya vyakula zilizopitishwa katika nyama. uzito wa mchuzi ya batamzinga kwa kawaida huongezeka kwa takriban 15% au zaidi.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Easter

Pasaka

Tamasha la wakristo ya kila mwaka katika maadhimisho ya ufufuo wa Yesu Kristo, husherehekewa Jumapili ya kwanza baada ya mwezi kamili ya kwanza baada ...

Featured blossaries

Boeing Company

Category: Technology   2 20 Terms

Badel 1862

Category: Business   1 20 Terms

Browers Terms By Category