Home > Terms > Swahili (SW) > kukata rufaa

kukata rufaa

Ombi rasmi kwa mahakama kuu kutaka kusikilizwa kesi ambayo iliamuliwa na mahakama ya chini. Mahakama za Juu Zaidi ndizo mahakama za juu kabisa zinazoweza kusikiliza kesi za rufaa zinazohusu sheria za jimbo, huku Mahakama ya Juu ya Marekani ikiwa ndiyo mahakama kuu zaidi ambayo inaweza kusikiliza kesi za rufaa zinazohusu sheria za Shirikisho ama za kikatiba. Rufaa kwa mahakama ya jimbo hufanywa kwa utaratibu fulani kama vile kwa kuangazia iwapo utaratibu mwafaka wa kisheria haukufuatwa katika kesi ya awali. Yeyote anaweza kulalamika kwa Mahakama ya Juu ya Marekani kuchukua kesi kama ilivyoshauriwa. Hata hivyo, mahakama inatazamiwa kukubali kesi iwapo inahusisha maswala yanayohusiana na ukatiba wa uamuzi wa mahakama ya chini ama mtafaruku kati ya mamlaka ya jimbo na serikali kuu.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Christmas

mshumaa

chanzo cha mwanga mfano wa utambi iliyoingizwa katika mafuta mango, kwa kawaida nta au mafuta, na kutumika katika Ukristo kumaanisha Mwanga wa Yesu ...

Contributor

Featured blossaries

The Kamen Rider TV Series

Category: Entertainment   1 25 Terms

Bugs we played as children

Category: Animals   3 3 Terms

Browers Terms By Category